Loading...

Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma

Loading...
Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma
link : Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma

soma pia


Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma





Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepigwa risasi leo Alhamisi nyumbani kwake na kwamba hali yake ni mbaya.

Lissu, ambaye ni mwanasheria mkuu wa Chadema kwa sasa amepelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, wabunge na viongozi wengine wa ulinzi wa Bunge wamefika katika hospitali hiyo kujua kinachoendelea.

Baadhi ya ndugu na wagonjwa wamefurika katika chumba cha upasuaji cha hospitali ya mkoa wakitafakari, huku wengine wakilia.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Charles Kihologwe amewataka watu hao kukaa mbali na chumba cha upasuaji lakini wengi wanakataa wakisema hawamwamini mtu yeyote.

Asubuhi, Lissu alihudhuria kikao cha Bunge na aliomba mwongozo wa Naibu Spika akihoji kuhusu taarifa za kamati zilizoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kutathmini mfumo wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa madini ya Tanzanite na almasi kuwasilishwa kwa Waziri Mkuu badala ya kujadiliwa na Bunge kwanza.


Chanzo: Mwananchi


Hivyo makala Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma

yaani makala yote Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/matukio-mhe-tundu-lissu-apigwa-risasi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Mhe. Tundu Lissu Apigwa Risasi Nyumbani Kwake Mkoani Dodoma"

Post a Comment

Loading...