Loading...

MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI

Loading...
MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI
link : MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI

soma pia


MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI

Mwambawahabari

22007404_493126874400429_3872412639073796972_n
Klabu ya Mbeya City imefikia makubaliano na Kocha Nsanzurwimo Ramadhani kuwa Kocha Mkuu kwa mkataba wa awali wa Msimu mmoja wa ligi kuu ya Vodacom inayoendelea.
Kocha Ramadhan ni raia wa Burundi na anatarajiwa kujiunga na timu hiyo huko kanda ya ziwa inakoendelea na michezo yake ya ligi kuu.
Kocha Ramadhani amewahi kuwa kocha kwa nyakati tofauti katika vilabu mbalimbali nchini Burundi, Rwanda, Botswana, Malawi, Uganda, na Afrika ya Kusini, pia amewahi kuwa mshauri wa ufundi katika timu ya taifa ya Burundi na kocha msaidizi/kocha mkuu wa muda(caretaker) kwa timu ya taifa ya Malawi.
Imetolewa na
Shah Mjanja
Afisa Habari
MCCFC
0717282217


Hivyo makala MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI

yaani makala yote MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mbeya-city-yapata-kocha-mpya-raia-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBEYA CITY YAPATA KOCHA MPYA RAIA WA BURUNDI"

Post a Comment

Loading...