Loading...

MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA.

Loading...
MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA.
link : MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA.

soma pia


MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA.

TIMU ya African Sports “Wanakimanumanu”imepata msaada wa vifaa vya michezo kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Ligi daraja la pili itakayoanza kutimua vumbi.

Vifaa hivyo ambavyo ni seti ya viatu vilitolewa juzi na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku katika halfa iliyofanyika kwenye viwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga

Akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo,Mbunge Mussa alisema ameamua kutoa vifaa hivyo ili kuweza kuihamasisha kufanya vizuri katika mashindano hayo na hatimaye kuweza kurudi ilipotoka.Alisema licha ya timu hiyo kushuka daraja hivi sasa wanapaswa  kujiimarisha na kucheza kwa umakini mkubwa ili kuweza kucheza michuano ya ngazi za juu.

“Mimi ni Mbunge lakini pia ni mwana michezo hivyo nitahakikisha nazisapoti timu za mkoa huu kwa lengo la kurejea kwenye makali yao ya zamani kwani michezo ni ajira “Alisema.Nay kwa upande wake,Mweka Hazina wa timu hiyo,Sad Juma alimshukuru mbunge huyo kwa kutoa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia timu hiyo kuondokana na uhaba uliokuwepo.

“Kama unavyojua sisi tulikuwa na uhaba wa vifaa vya michezo hususani viatu na nyenginevyo hivyo alichotupa mbunge tunamshukuru lakini tutakuwa nawe bega kwa bega “Alisema.Hata hivyo alisema hivi sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya kujiwinda na mashindano hayo wakiwa na kikosi imara ambacho kimedhamiria kupata mafanikio.
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi viatu Mweka Hazina wa timu ya African
Sports,Sad Juma kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Ligi Daraja la pili makabidhiano hayo yalifanyika uwanja wa CCM mkwakwani mjini Tanga
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi viatu Mweka Hazina wa timu ya African Sports,Sad Juma kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Ligi Daraja la pili makabidhiano hayo yalifanyika uwanja wa CCM mkwakwani mjini Tanga
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akisalimiana na wachezaji wa timu ya Jang'ombe ya Zanzibar ambao wameweka kambi mkoani Tanga wakati alipokwenda kukabidhi vifaa kwa timu ya African Sports.


Hivyo makala MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA.

yaani makala yote MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mbunge-mussa-aipiga-jeki-timu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA."

Post a Comment

Loading...