Loading...

Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima

Loading...
Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima
link : Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima

soma pia


Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima

 Na Humphrey Shao

Msanii wa Muziki wa Asili nchini anayetamba katika majukwaa ya kimataifa Msafiri Zawose amewataka watanzania wazidi kumpigia kura hilo aweze kutwaa tuzo ya Afrima katika kipengele cha Muziki wa asili

Zawose ametoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa Michuzi blog juu ya Mipango yake ya kufanya matamasha nje ya nchi.

"Cha kwanza ni kuwataka watanzania waingie katika website ya afrima kisha kipita katika kipengele cha best tradional music na kumchagua Msafiri Zawose kutoka Tanzania hili niwe mshindi na kuleta heshima kwa taifa" amesema Zawose.

Ametaja kuwa mafanikio makubwa     uanzia Nyumbani hivyo ni wakati wa  Watanzania kumuunga mkono katika kutambulisha utamaduni wetu kimataifa.
Ametaja kuwa huu ndio muda wa kuweza kuionyesha Dunia  namna tulivyojaliwa vitu vya asili ambavyo vinaweza kuwavutia watalii kuja nchinini.

Zawose amemaliza kwa kusisitiza kuwa ni vyema kila mmoja kimpigia kura kadri awezavyo hilo awe kuibuka mshindi


Hivyo makala Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima

yaani makala yote Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/msafiri-zawose-awaomba-watanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msafiri Zawose awaomba Watanzania kumpigia kura Tuzo za Afrima"

Post a Comment

Loading...