- Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa
, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
link :
 |
Msanii Alli Kiba akiwaongoza mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Naibu waziri wa Ajira,Kazi na Vijana, Athony Mavunde, Goodluck Charles na Henry Kinambo kutoka Tigo kucheza pamoja kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 mkoani Arusha usiku wa kuamkia juzi.
 |
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo akizungumza na waandishi wa habari kwenye wa tamasha la Tigo Fiesta2017 mkoani Arusha |
|
 |
Alicia akiendelea kushamyulia jukwaa la Tigo fiesta Jijini Arusha mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
 |
Msanii wa Ben Pol akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamasha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
 |
Aslay akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
 |
Umati wa wakazi wa Arusha wakiwa katika kushuhudia burudani ya Tigo Fiesta |
 |
Shangwe za Tigo fiesta zikiendelea |
 |
Vanesa Mdee akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
 |
Jux akilishambulia jukwaas la Tigo Fiesta |
 |
Maya Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta |
 |
Msaga sumu akitumbuiza katika jukwaa la tigo Fiesta. |
 |
Young D akishambulia jukwaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia juzi Jijini Arusha. |
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala
mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/msanii-alli-kiba-akiwaongoza-mkuu-wa.html
0 Response to " "
Post a Comment