Loading...
title : Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu.
link : Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Bungu wakati wa hafla ya kukabidhi matofali na vifaa vya ujenzi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya skuli hiyo hafla hiyo imefanyika katika viwanja skuli hiyo, wakifurahia na Mwakilishi wao.amekabidhi vifaa vya shilingi milioni Sita.kwa ajili ya kukamilisha jengo la skuli.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu,Mhe.Simai Mohamed Said, akikabidhi matofali na vifaa vyengine vya Ujenzi kwa Kamati ya Maendeleo ya Skuli ya Bungi hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya skuli hiyo bungi.
Hivyo makala Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu.
yaani makala yote Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mwakilishi-wa-jimbo-la-tunguu-akabidhi.html
0 Response to "Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Vifaa Vya Milini Sita Kukamilisha Ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Msingi Bungi Jimbo la Tunguu."
Post a Comment