Loading...

Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU

Loading...
Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU
link : Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU

soma pia


Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU

Wabunge wa Chadema, Godbless Lema na Joshua Nassari wamesema watapeleka kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ushahidi kuhusu madiwani saba waliojiuzulu katika majimbo yao wanaowatuhumu kupokea rushwa ili kujiuzulu nafasi zao.

Lema ambaye ni mbunge wa Arusha Mjini, amesema leo Jumatano kuwa, wanashukuru Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola kuwakaribisha kupeleka ushahidi.

"Tunashukuru sana mkurugenzi mkuu wa Takukuru kutukaribisha, tutapeleka ushahidi wetu ofisini kwake na tunaamini atafanyia kazi tuhuma hizi," amesema.

Amesema mbunge mwenzake wa Arumeru Mashariki, Nassari ambaye madiwani watano katika jimbo lake wamejiuzulu amekwenda Nairobi nchini Kenya kuonana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili kupata baraka zake kabla ya kwenda Takukuru.

"Nassari amekwenda Nairobi kuonana na Mwenyekiti Mbowe ili kumweleza tukio hili na akirudi tutakwenda naye moja kwa moja kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Mlowola," amesema.


Hivyo makala Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU

yaani makala yote Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/nassari-lema-wakubali-kupeleka-ushahidi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Nassari, Lema Wakubali Kupeleka Ushahidi wao TAKUKURU"

Post a Comment

Loading...