Loading...

PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje

Loading...
PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje
link : PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje

soma pia


PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai (kulia) akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Tanzania, Andrew Kashangaki (katikati) katika hafla ya kukabidhi jengo maalum la mama ngojea ‘maternity waiting home’ yaani kwa kina mama wajawazito watakaokua wakisubiri kujifungua katika hospitali ya Kinyonga – Kilwa Kivinje, mradi uliogharimu shilingi 220m/-. kushoto kwake ni Mratibu wa shughli za Uwajibika kwa jamii -PANAFRICAN ENERGY Tanzania, Yvonne Abba.
Meneja Uwajibikaji kwa jamii kampuni ya PAN AFRICA energy, Andrew Kashangaki akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai baada ya Kumkabidhi jengo la mama ngojea na vifaa vya kupumzikia iliyogharimu shilingi milioni 220.
Baadhi ya wananchii wa wilaya ya Kilwa wakimsikiliza mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai akitoa hotuba yake katika Hafla ya Uzinduzi wa Jengo la Mama wajawazito iliyofanyika katika Hospital Kinyonga wilaya ya Kilwa .
Mratibu wa uwajibikaji kwa Jamii-PANAFRICA ENERGY, Yvone K Abba akipeana mkono na mkuu wa wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai katika Hafla ya kukabidhi jengo la kusubiri la mama Mjamzioto-Kilwa Lindi



Hivyo makala PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje

yaani makala yote PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/panafrican-energy-tanzania-yakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PANAFRICAN Energy Tanzania yakabidhi jengo la ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga, Kilwa Kivinje"

Post a Comment

Loading...