Loading...

RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO .

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO .
link : RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO .

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO .

Mwambawahabari

IMGS2013
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Singisi kata ya Akeri nje kidogo ya jiji la Arusha kwenye njia panda ya KIA waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
IMGS2032
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na wakuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akati akielekea kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
IMGS2041
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira kabla ya  kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
IMGS2074
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  baada ya kumsindikisza Rais Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
IMGS2065
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiwa mikono na  Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na Mkuu wa \Mkoa wa Arusha wakati ndege yake ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
IMGS2046
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kabla ya kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Picha na IKULU



Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO .

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-ahitimisha-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO YA ARUSHA LEO ."

Post a Comment

Loading...