Loading...
title : Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa
link : Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa
Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa
Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kamati inayosimamia Mashindano ya Coco Sports Ndondo Cup leo imetangaza ratiba ya nusu fainali ya mwaka 2017.
Hii ndio nusu fainali ya COCO SPORTS NDONDO CUP 2017
Jumapili 24/9/2017
Theo Kombain vs Kibonde Maji
Jumatatu 25/9/2017
Six center vs Amazon fc
Mechi zote zitapigwa katika uwanja wa blue star Mwera saa 10: 00 za jioni.
Mashindano hayo ya Ndondo CUP awali yalianza na timu 63 kwa kuchezwa mtoano na mpaka sasa kufikia hatua ya nusu fainali ambapo bingwa anatarajiwa kupatiwa Ng'ombe na Shilingi Milioni moja.
Hivyo makala Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa
yaani makala yote Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ratiba-ya-nusu-fainali-ndondo-cup.html
0 Response to "Ratiba ya Nusu Fainali Ndondo Cup yatolewa"
Post a Comment