Loading...

RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU

Loading...
RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU
link : RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU

soma pia


RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amekabidhi vifaa vya ujenzi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zake alizotoa katika ziara yake ya siku tano iliyomalizika tarehe 15/09/2017.

Katika makabidhiano hayo Mhe. Gambo amekabidhi jumla ya mifuko 700 ya saruji, nondo za ukubwa wa milimita 16 na 12 tani moja moja na bati 200 kwenda kukamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali.

*“Katika ziara yangu nimekutana na wananchi wetu wamejitahidi kwenye shughuli mbalimbali za maendeleo na Halmashauri ya Arusha Vijijini imefanya kazi kubwa, wakaniomba mimi kama Mkuu wa mkoa niweze kuchochea shughuli za maendeleo……na msaada huu utaenda kusaidia maeneo mbalimbali mfano ujenzi wa daraja Mateves na nyumba za walimu Oldonyosambu”* alisema Mhe. Gambo.
Mkuu wa Mkoa amemaliza ziara zake za kikazi katika mkoa wa Arusha kwa kutembelea Halmashauri 7 na wilaya zote 6, ziara hizi zikiwa na lengo la kujitambulisha kwa wananchi na kusukuma shughuli mbalimbali za kimaendeleo.

 RC Gambo akikabidhi mifuko ya saruji kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Ndg Charles Mahera (katikati) aliyeambatana na Katibu Tawala wa wilaya ya Arumeru Ndg. Timoth Mzava
 Lori lililosheheni mifuko 700 ya saruji tayari kuelekea makao makuu ya Halmashauri yaArusha
 RC Gambo akikabidhi mabati kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha

RC Gambo akikabidhi nondo tani mbili kwa wananchi wa wilaya ya Arumeru



Hivyo makala RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU

yaani makala yote RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rc-gambo-atimiza-ahadi-zake-kwa-wana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC GAMBO ATIMIZA AHADI ZAKE KWA WANA ARUMERU"

Post a Comment

Loading...