Loading...

SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI

Loading...
SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI
link : SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI

soma pia


SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI


Na. Eliphace Marwa - Maelezo

Serikali imeingiza nchini jumla ya tani elfu 32 za mbolea ya kukuzia pamoja na tani elfu 23 za mbolea ya kupandia kupitia mfumo mpya wa uagizaji wa mbolea kwa pamoja, lengo likiwa ni kudhibiti bei kwa kuzingatia bei elekezi.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam wakati zoezi la upakuaji wa mbolea hiyo likiendelea Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Udhibiti wa Ubora wa Mbolea Tanzania(TFRA) Bw. Lazaro Kitandu amesema kuwa mpaka sasa jumla ya tani elfu 55 za mbolea zimewasili nchini.

Hii ni awamu ya kwanza ya kuingiza mbolea nchini kupitia mfumo mpya ya uagizaji mbolea kwapamoja ambapo kampuni ya OCP S.A ya nchini Morocco imeingiza jumla ya tani elfu 23 za mbolea ya kupandia na Kampuni ya Premium Agro Chem imeingiza tani elfu 32 za mbolea ya kukuzia.

“Mpaka sasa zoezi la kupakua mbolea ya kupandia (DAP) tani elfu 23 linaendelea vizuri na mara baada ya kumaliza kupakua mbolea hii tutaanza zoezi la kupakua mbolea ya kukuzia (UREA) ambayo ni tani elfu 32,” alisema Bw. Kitandu.
Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Udhibiti wa Ubora wa Mbolea Tanzania(TFRA) Bw. Lazaro Kitandu (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati zoezi la upakuaji wa mbolea ya kupandia ukiendelea katika bandari ya Dar es Salaam mapema hii leo. 
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari nchini wakiendelea na zoezi la upakiaji wa mbolea ya kupandia tani elfu 23 tayari kwenda kwa wakulima mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari nchini wakiendelea na zoezi la kufunga mbolea ya kupandia katika mifuko tayari kwa kupakiwa na kusafirishwa kwenda kwa wakulima.Picha na Eliphace Marwa - Maelezo





Hivyo makala SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI

yaani makala yote SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/serikali-yaingiza-tani-55000-za-mbolea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAINGIZA TANI 55,000 ZA MBOLEA ILI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI"

Post a Comment

Loading...