Loading...

SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)

Loading...
SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)
link : SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)

soma pia


SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)

Mwambawahabari

IMGL6113
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Kelvin Ngaeje wa kanisa la Anglican baada ya kualikwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St.John kilichopo Mjini Dodoma.
IMGL6139
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni kabla ya kufungua  Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma.
IMGL6246
Wanamaombi wa Mtandao Tanzania (APN) wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN)uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma.
IMGL6318
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto)akizungumza wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma. kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Emmanuel Mbennah, Askofu Dudly Magon (wa pili kulia) na Mchungaji Can Ruwa (kulia).
PICHA NA OFISI YA BUNGE


Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)

yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/spika-job-ndugai-mgeni-rasmi-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)"

Post a Comment

Loading...