Loading...

SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA.

Loading...
SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA.
link : SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA.

soma pia


SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA.

Mwambawahabari
IMGL2163
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.
IMGL2184
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. kushoto ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas kashililah
IMGL2194
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha pamoja kilichoongozwa  na Spika wa Bunge katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.  kulia ni Mhe. Andrew Chenge, Mhe. Stanslaus Nyongo (katikati) na Mhe. Christine Ishengoma (kushoto).
IMGL2211
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA.

yaani makala yote SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/spika-ndigai-aongoza-kikao-cha-kamati.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDIGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO MJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...