Loading...

STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI.

Loading...
STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI.
link : STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI.

soma pia


STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI.

Na Mwandishi Wetu.
STARTIMES Tanzania kupitia chaneli yake ya Star Swahili kufungua pazia jipya la shindano la kusaka vipaji vya sauti litakalofanyika jijini la Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Meneja Masoko na Mahusiano wa StarTimes Tanzania, Juma Sharobaro amesema  mashindano hayo ni fursa tosha kwa washiriki pamoja na ajira kwa washiki pamoja na washindi hao. 

Amesema kuwa shindano la kusaka vipaji vya sauti litakalofanyika katika maeneo matatu hapa nchini ambayo ni jiji la Dar es Salaam watachukua washindi kumi, jijini Mwanza  watachukua washindi watano na Zanzibar watachukua washindi watano hao wote wataingia fainali itakayohusisha washiriki 20. 

Washindi wa Shindano la kusaka vipaji vya sauti watapata fursa ya kwenda kufanya kazi katika makao makuu ya Startimes yaliyopo jijini Beijing nchini China.

Naye Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Seleman Sewangi amesema kuwa Startimes Tanzania wanasaidia kukuza vipaji vya vijana pamoja na kukuza kiswahili ndani na nje ya Tanzania. 

Amewaasa Startimes kuangalia namna ya wasanii hao kunufaika na kazi zao mara baada ya kumaliza mikataba. Pia alisisitiza kuwepo namna ya kunufaika kati ya nchi mbili ambazo ni Tanzania na Chini katika kazi hizo za sanaa.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Seleman Sewangi akizungumza kwenye mkutano wa kwanza kati ya Startimes Tanzania pamoja na waandishi wa habari unaohusu shindano la kusaka vipaji vya sauti linaloandaliwa na kampuni ya Startimes kwa kushirikiana na ubalozi wa Chini nchini Tanzania.
Meneja Masoko na Mahusiano wa StarTimes Tanzania, Juma Sharobaro akizungumza na waandishi wa habari na wageni mbalimbali kwenye awamu ya kwanza ya kuandaa shindano la kusaka vipaji vya sauti linaloandaliwa na kampuni ya StarTimes kwa kushirikiana na ubalozi wa Chini nchini Tanzania litakalofanyika Dar Es Salaam, Mwanza na Zanzibar.
Mhadhiri kutoka Taasisi ta Taaluma za Kiswahili(UDSM), George Mrikaria akizungumza kuhusu  chuo hicho kitavyoweza kwenda sambamba na Startimes ili kuweza kuwapata washindi wazuri watakaoitangaza pamoja na kukitangaza kiswahili katika nchi mbalimbali hasa nchini China.


Hivyo makala STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI.

yaani makala yote STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/startimes-tanzania-kuja-na-shindano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "STARTIMES TANZANIA KUJA NA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA SAUTI."

Post a Comment

Loading...