Loading...
title : TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC
link : TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC
Klabu ya Simba inawatangazia waandishi wote wa habari za michezo,kuwa kesho siku ya Jumatatu 18/9/2017 kutakuwa na mkutano.
Mkutano huo utafanyika kwenye ukumbi mdogo wa klabu kuanzia majira ya saa 6 mchana, pamoja na mengine yatakayozungumzwa hiyo kesho,mkutano huu ni muhimu sana kwako/kwenu kuhudhuria kwani kuna mengi ya umuhimu ya kuyatolea ufafanuzi na kuyaweka wazi kwa umma wa mashabiki na wanachama wetu kupikia kwako/kwenu.
Tunasisitiza kuwahi,kwani mkutano huo utaanza katika muda uliotajwa hapo juu na utazingatia muda.
Mwisho Klabu inapenda kuwapa taarifa rasmi,kuwa kuanzia sasa kila siku ya Jumatatu tu tutakuwa na mkutano na nyinyi/wewe kuanzia majira ya saa 6 mchana kwenye ukumbi wa klabu,hivyo basi ni vyema mkaiongeza ratiba hii kwenye ratiba zenu za kazi za kila siku.
Imetolewa na Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano
Haji Sunday Manara.
Simba Nguvu Moja..!!!
Hivyo makala TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC
yaani makala yote TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-kutoka.html
0 Response to "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA SIMBA SC"
Post a Comment