Loading...

TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI

Loading...
TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI
link : TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI

soma pia


TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI


Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISO) limesema linaunga mkono juhudi kubwa zinazoonyeshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli kupigania na kuzilinda rasilimali za nchi kwa maslahi ya Taifa jambo ambalo litasaidia kuchangia kwa kasi harakati za kimaendeleo.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Tahliso, Stanslaus Kadugalize katika taarifa yake kwa vyombo vya habari nchini ambapo alisema tokea Serikali ya awamu ya tano iingie madaraka inakaribia kutimiza miaka miwili lakini ndani ya kipindi hicho watanzania wameona mambo mengi makubwa yakifanywa kwa ajili ya kuipa nchi maendeleo.

Alisema moja kati ya mambo makubwa ni suala la kiongozi huyo kupamaba na vita dhidi ya dawa za kulevya,kuondoa watumishi hewa serikalini pamoja na wenye vyeti feki, Vita dhidi ya ufisadi na uhujumu uchumi,kufufua shirika letu la Ndege(ATC) kwa kununua ndege ambazo hivi sasa watanzania wanajivunia kuwa ni mali yao.

Mwenyekiti huyo alisema pia mambo mengine ni Ujenzi wa Reli ya kisasa, Ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi katika Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), utoaji wa ajira zaidi ya 50,000 kwa vijana wahitimu, Kuimarisha utumishi wenye nidhamu na uwajibikaji serikalini, Kuinua kwa kasi uchumi wa nchi yetu kimataifa, Kuboresha sekta ya afya pamoja na kupunguza bei za madawa ya binadamu nchini na mengine mengi yaliyoleta maendeleo ya nchi yetu

Alisema pamoja na hayo lakini Rais Magufuli alionyesha ujasiri mkubwa kwa kuzuia mchanga wa madini ya dhahabu (Makinikia) na kuunda tume ili ichunguze namna nchi ilivyokuwa inapoteza mapatoambayo ilionyesha jinsi watu walivyoibiwa mapato ya Taifa kwa kipindi kirefu.

“Lakini hakuishia hapo Juzi Rais Magufuli amekabidhiwa ripoti ya uchunguzi dhidi ya Madini ya Almas na Tanzanite iliyochunguzwa na kamati mbili zilizoundwa na Mhe. Spika Jobu Ndugai ripoti ambayo imeonyesha jinsi watanzania tulivyoibiwa kwa kipindi kirefu, Mhe. Rais hakusita kuwachukulia hatua wale wote waliohusika katika kupelekea Taifa kupoteza mapato”Alisema 



Hivyo makala TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI

yaani makala yote TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tahliso-yaunga-mkono-juhudi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAHLISO YAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA JPM KUPIGANIA NA KUZILINDA RASILIMALI ZA NCHI"

Post a Comment

Loading...