Loading...
title : TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA
link : TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA
TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA
"Uongozi na Wafanyakazi wa E-FM,TV-E kwa majonzi na masikitiko makubwa tunatangaza kuondokewa na Mwanafamilia Mwenzetu Dennis Rupia (Chogo),aliyefarika Dunia baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mfupi.
Aidha kwa taarifa zaidi tataendelea kufahamishana taratibu za kumpumzisha mpendwa wetu kupitia vyanzo mbalimbali vya mawasiliano.
Hakika ni kipingi Kigumu kwetu,Wasikilizaji wa Redio na familia kwa ujumla tuendelee kuombea Mpendwa wetu" ,E-FM.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
Hivyo makala TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tanziamtangazaji-wa-e-fm-afariki-dunia.html
0 Response to "TANZIA:MTANGAZAJI WA E-FM AFARIKI DUNIA"
Post a Comment