Loading...

TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO

Loading...
TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO
link : TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO

soma pia


TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO


Rais wa TCIA akifafanua jambo mbele wa wafabiashara walioshirika katika mkutano mkuu wa mwaka.Chama cha wafanyakazi, kilimo na viwanda Tanzania kimefanya mkutano wake mkuu wa mwaka pamoja na kuzindua mfumo mpya wa ulipiaji bidhaa kwa njia ya mtandao ‘LIPA FASTA’ lengo kubwa likiwa ni kusaidia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakisafirisha bidhaa zao nje ya nchi. Mfanyabiashara na mwanachama wa TCCIA ndugu mustafa hassanal akisalimiana na mgeni rasmi ndugu Raymond Mbilinyi katika mkutano mkuu wa mwaka, pembeni ni makamu Rais wa TCCIA ndugu Octavian Mshiu

Huduma hii imezinduliwa katika mkutano mkuu wa mwaka wa TCCIA ambapo wanachama wote wa TCCIA pamoja na wafanyabiashara mbalimbali walihudhuria mkutano huo kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ikiwemo uzinduzi wa huduma hii ambayo itakuwa mkombozi kwa wafanyabiashara wengi.
Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA Gotfrid Muganda akiongea na wafanyabishara waliohudhuria katika mkutano mkuu wa mwaka

Akizungumza kwenye mkutano huo Mkurungezi Mtendaji ndugu Gotrid Muganda alisema ‘LIPA FASTA ni mkombozi kwa wafanyabiashara wote katika kurahisisha njia zao za kufanya malipo. Kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wakisafirisha bidhaa zao nje ya nchi, sasa hawana haja ya kuwa na wasiwasi katika kufanya malipo kwani mfanyabiashara anaweza kufanya malipo akiwa ofisini kwake.Mfumo huu utasaidia wafanyabiashara kupata cheti cha uwasili kwa muda mfupi.Rais wa TCCIA ndugu John Mayanja akifafanua jambo katika mkutano hu0
Nae makamu wa Rais wa chama Ndugu Octavian Mshiu amesema’ mpango huo utaendeshwa na TCCIA kuanzia ngazi ya wilaya ili kuondoa vikwazo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa zao nje ya nchi’
LIPA FASTA ni zaidi ya njia ya malipo kwani hapa hata watanzania waishio nchi za nje ya nchi watapata nafasi ya kupata taarifa sahihi za soko, kuhifadhi taarifa sahihi za soko na bidhaa zilizopelekwa kwenye maitaifa mbalimbali pamoja na kumwezesha mfanyabiashara kufanya malipo popote alipo.Baadhi ya wafanyabiashara waliohudhuria mkutano mkuu wa mwaka wakifwatila mkutano


Hivyo makala TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO

yaani makala yote TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/tccia-yazindua-malipo-kwa-njia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCCIA YAZINDUA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO"

Post a Comment

Loading...