Loading...
title : Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo.
link : Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo.
Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo.
Msikiti Mpya na wa Kisasa wazinduliwa leo Mjini Zanzibar ujulikanao kwa jina la Masjid Jaamiu Zinjibar uliojengwa na Mfalme wa Sultan Qaboos, uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alhajj Ali Mohammed Shein.na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali kutoka Oman na Zanzibar wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo kwa ibada ya Sala ya Ijumaa.
Jengo la Masjid Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini Zanzibar.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid hiyo.
Hivyo makala Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo.
yaani makala yote Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/ufunguzi-wa-msikiti-jaamiu-zinjibar.html
0 Response to "Ufunguzi wa Msikiti Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo."
Post a Comment