Loading...
title : Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu?
link : Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu?
Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu?
Watu 11 wakiwemo madiwani wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya IKungi mkoani Singida wamekamatwa wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kuishinikiza Serikali kutoa tamko kuhusu kuvamiwa na kupigwa risasi mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu amesema watu hao wamekamatwa na polisi jana Ijumaa mchana wakiwa na mabango katikati ya mji wa Ikungi, wakiwa kwenye harakati za kuhamasisha maandamano.
“Walitaka kufanya maandamano, tuliwawahi kabla hawajaanza, miongoni mwao wapo waliotokea Arusha na Dodoma, kwa hiyo wamekamatwa kwa ajili ya mahojiano zaidi," amesema Mtaturu.
Amesema tukio la Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kupigwa risasi halijatokea Singida, hivyo hawataruhusu maandamano ya aina yoyote yanayoweza kuhatarisha amani.
Hivyo makala Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu?
yaani makala yote Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu? mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/uliipata-hii-ya-watu-11-kukamatwa-kisa.html
0 Response to "Uliipata hii ya watu 11 kukamatwa kisa Tundu Lissu?"
Post a Comment