Loading...

UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA

Loading...
UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA
link : UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA

soma pia


UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, akijiandikisha katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la UTT AMIS katika Mkutano wa Wahandisi uliofanyika Septemba 7-8 mjini Dodoma. Kulia ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT-AMIS, Martha Mashiku. 
Ofisa wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani, akitoa elimu kwa watu waliofika katika banda la UTT AMIS huku mwananchi mwingine aliyekaa akifungua akaunti wakati wa mkutano wa Wahandisi mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mmbaga akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, alipotembelea banda hilo wakati wa Mkutano wa Wahandisi uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.


Hivyo makala UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA

yaani makala yote UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/utt-amis-ilivyoshiriki-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA"

Post a Comment

Loading...