Loading...

WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO.

Loading...
WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO.
link : WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO.

soma pia


WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO.


Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, Luteni Kanali Mkundi alisema kuwa  wamefika hospitalini hapo ambako wamefanya usafi  katika wodi mbalimbali na kugawa zawadi ikiwa ni kusherehekea  maadhimisho hayo  yaliyoadhimishwa  nchini kote huku wanajeshi wakiungana katika kufanya shughuli mbalimbali za kijamii.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika  la Elimu Kibaha Bwana. Robert Shilingi  akipokea  msaada kutoka kwa Luteni Kanali Gelda Lucas Mkundi na  Kulia ni Meja Salma  Shaaban Kalili wote kutoka Kambi ya  Nyerere Msangani Kibaha Mkoani Pwani.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Hospitali ya Tumbi Kibaha ikiwa  ni katika maadhimisho ya miaka 53 ya kuanzishwa kwa Jeshi la Wananchi nchini , sherehe hizo hufanyika kila ifikapo Septemba Mosi ya kila mwaka.

Meja  Enock Wiliam Liwembe  kutoka kikosi cha Kiluvya  akitoa damu katika hospitali ya Tumbi ikiwa ni  katika  sehemu ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 53 ya JWTZ.



Hivyo makala WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO.

yaani makala yote WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wanajeshi-wa-jeshi-la-wananchi-mkoa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI MKOA WA PWANI WAADHIMISHA MIAKA 53 YA KUZALIWA JESHI HILO."

Post a Comment

Loading...