Loading...

WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Loading...
WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
link : WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

soma pia


WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

Mtandao BBC umeripoti,Wanasayansi wamekuwa wakitengeneza chembe chembe za kinga ya mwili zinazoweza kushambulia asilimia 99% ya virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi na hivyo kuzuwia maambukizi kuendelea.

Chembe chembe hiyo ya kinga imetengenezwa kwa ajili ya kushambulia sehemu tatu muhimu za virusi na hivyo kuvifanya virusi hivyo kushindwa kuhimili mashambulizi yake.

Kazi ya utengenezaji chembe chembe hizo za kinga ya mwili imetokana na ushirikiani baina ya Taasisi ya Marekani ya Afya na kampuni maduka ya dawa ya Sanofi.

Shirika la kimataifa la kukabiliana na ukimwi -International Aids Society linasema kuwa huu ni "ugunduzi wa kihistoria ".

Majaribio ya kinga kinga hiyo ya mwili kwa binadamu yataanza kufanyika mwaka 2018 kuangalia kama dawa hiyo inaweza kuzuwia ama kutibu maambukiziya HIV

Miili yetu huhangaika kupigana na virusi vya HIV kwasababu virusi hivyo vina uwezo mkubwa wa kujibadilisha katika hali nyingine pamoja na muonekano wake.

Aina kadhaa za virusi vya HIV - katika mgonjwa mmoja zinaweza kufananishwa na zile za mafua wakati wa msimu wa baridi.

Kwa hiyo mfumo wa kinga ya mwili najipata katika vita dhidi ya magonjwa kadhaa nyemelezi yanayosababishwa na HIV.

Lakini baada ya miaka kadhaa ya maambukizi, wagonjwa wachache hujenga silaha kali ya mwili ambapo " Mwili hupunguza uharibifu wa kinga ya mwili " kwa kushambulia kwa kiasi kikubwa maambukizi ya HIV.

Watafiti wamekuwa wakijaribu kutumia uwezo wa mwili wenyewe wa kupunguza uharibifu wa kinga ya mwili kama njia ya kutibu HIV, ama kuzuwia maambukizi hayo



Hivyo makala WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

yaani makala yote WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wanasayansi-wagundua-kinga-dhidi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANASAYANSI WAGUNDUA KINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI"

Post a Comment

Loading...