Loading...

WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO.

Loading...
WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO.
link : WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO.

soma pia


WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO.

Balozi wa Nordic Foundation Tanzania Najma Abdallah akiwasiliana na Frank Athanasi Samson Mkulima wa Mkoani Geita baada ya kuibuka mmoja wa washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia, katika droo ya kwanza ya Afyabando mchezo uliochezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 17 2017.

Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiwa na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maggid aliysimamia zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechzeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 17 2017.


Hivyo makala WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO.

yaani makala yote WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/washindi-wa-afyabando-wapatikana-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASHINDI WA AFYABANDO WAPATIKANA KWENYE DROO YA KWANZA DAR ES SALAAM LEO."

Post a Comment

Loading...