Loading...

ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA

Loading...
ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA
link : ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA

soma pia


ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA

Kampuni ya Zuku imezindua huduma ya Intaneti yenye uwezo mkubwa wa kuweza kufanya kazi kwa vitu vitatu kwa wakati mmoja.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Afisa Mtendaji wa Zuku Fiber, Thomos Hintze amesema kuwa Zuku Fiber inawezo mkubwa kuliko mitandao mengine iliyopo nchini.

Amesema kuwa wamejipanga kutokana na kampuni hiyo kuwa na miundombinu inayojitosheleza ambapo mtu akilipia anapata huduma muda huo huo

Hata hivyo amesema kifurushi cha Zuku fiber triple Play 100 mbps kimeundwa ili kukidhi mahitaji ya mtandaoni kama video fupi, sinema , michezo ya kuigiza na video za mawasiliano.

Hintz amesema kuwa gharama za mtandao huo ni sh .79,000 ambapo Mteja anapoanza  kutumia uwezo wake ni uleule mpaka mwisho.

Amesema kampuni hiyo imekwenda mbali baadhi ya nchi za Afrika ambazo ni Zambia, Malawi, Uganda pamoja na Kenya.

Afisa Mtendaji wa Zuku Fiber, Mhandisi Thomos Hintze akizungumza na waandishi katika uzinduzi wa Intaneti  Fiber iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja wa Zuku Fiber Thomas Wenanga  pamoja na Mkuu wa kitengo cha Fiber, Michael Debaly 
Meneja Uendashaji wa Zuku Fiber, Mcharo Mlaki akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya Intaneti iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Zuku Fiber, Mhandisi Thomos Hintze akiwa na watendaji wa kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA

yaani makala yote ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/zuku-fiber-yazindua-huduma-ya-intaneti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZUKU FIBER YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YENYE KASI ZAIDI TANZANIA"

Post a Comment

Loading...