Loading...

Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi

Loading...
Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi
link : Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi

soma pia

Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa kuzindua baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ukiendelea.
Picha na JKCI

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana, Ajira na Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew Mwalwisi akizindua baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya JKCI Prof. William Mahalu na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew Mwalwisi akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Restituta Rugaganya mara baada ya kuzindua baraza hilo leo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew Mwalwisi akimpongeza Katibu wa baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Samweli Rweyemamu mara baada ya kumkabidhi vitendea kazi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew Mwalwisi akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rajabu Matiku mara baada ya kuzindua baraza hilo leo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.

Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. William Mahalu akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wa baraza uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu mwenyekiti wa TUGHE Rajabu Hamisi.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana, Ajira na Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana, Ajira na Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Hivyo makala Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi

yaani makala yote Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/afya-jkci-yazindua-baraza-la-wafanyakazi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Afya : JKCI Yazindua Baraza la Wafanyakazi"

Post a Comment

Loading...