Loading...

Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha

Loading...
Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha
link : Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha

soma pia


Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha

 
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akizungumza kuwakaribisha washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha (hawapo pichani) kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Biashara kati ya Mabenki, Bi. Heidi Toribio akishuhudia.Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akinyanyua glasi juu kuashiria uzinduzi wa hafla hiyo pamoja na washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha (hawapo pichani) katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
 
Washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha wakibadilishana mawazo kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza jambo na Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na Wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. Katikati ni mmiliki wa mtandao maarufu wa Josephatlukaza.com, Josephat Lukaza akifuatilia mazungumzo hayo. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA





Hivyo makala Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha

yaani makala yote Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/benki-ya-standard-chartered-yawaandalia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Benki ya Standard Chartered yawaandalia cocktail washiriki Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha"

Post a Comment

Loading...