Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodomalink :
Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma
Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Hamis, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei kufungua semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika mkoani Dodoma, mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza katika semina hiyo.

Dk. Charles Kimei akipongezwa baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali mkoani Dodoma.

Dk. Charles Kimei, akipongezwa na mfanyabiashara wa mkoani Dodoma, Suzana Kweka, baada ya kutoa hotuba yake.
Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali cha Benki ya CRDB, Elibariki Masuke akitoa mada katika semina hiyo.

Baadhi ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB.

Wafanyabiashara wakiwa katika semina hiyo.

Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali Benki ya CRDB, Elibariki Masuke (kushoto), akiwa katika semina hiyo.

Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina hiyo.
Meneja wa Amana wa Wateja Wadogo wa Benki ya CRDB, Abel Lasway, akitoa mada katika semina ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa mkoani Dodoma.
Meneja wa Huduma Maalum Benki ya CRDB, Joyce Ishemoi akitoa mada kwenye semina ya Wafanyabiashara wa Dodoma.
Meneja wa Benki ya CRDB Huduma za Kieletroniki, Mangire Kibanda, akitoa mada katika semina iliyowakutanisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma.
Mfanyabiashara wa Dodoma akiuluza swali katika semina hiyo.
Meneja Mahusiano Trade Finance wa Benki ya CRDB, Baraka Eusebio akitoa mada kwa Wajasiriamali.
Mfanyabiashara wa Dodoma akiuliza swali.
Mfanyabiashara wa mkoani Dodoma, Suzana Kweka, akitoa ushuhuda wake jinsi alivyopata msaada wa kukuza biashara yake kutoka Benki ya CRDB.
Mmoja wa Wafanyabiashara akiuliza swali.
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya CRDB, James Mabula,akijibu baadhi ya maswali ya Wafanyabiashara wa Dodoma wakati wa semina iliyoandaliwa na benki hiyo.
Wafanyabiashara wa Dodoma wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB.

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Hamis, akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei.

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya CRDB, James Mabula, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali, Elibariki Masuke, Elibariki Masuke na Mkurugenzi Benki ya CRDB Tawi la Dodoma, Rehema Hamis.
Hivyo makala Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma
yaani makala yote Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/biashara-crdb-yatoa-semina-kwa.html
Related Posts :
MBULU WAMFAGILIA RAIS MAGUFULIMKUU wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Simbalimile Mofuga amempongeza Rais John Magufuli kwa kufanya maendeleo makubwa kwenye uo… Read More...
OPENING REMARKS BY HON. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MP), PRIME MINISTER OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF THE 2ND JOINT MEETING OF THE SADC NUCLEAR REGULATOR NETWORK AND THE STEERING COMMITTEE OF PROJECT SUPPORT TO SOUTHERN AFRICAN STATES IN NUCLEAR SAFETY AND SAFEGUARDS AT ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE, 29th APRIL, 2019
OPENING REMARKS BY HON. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MP), PRIME MINISTER OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF THE 2ND J… Read More...
WAZIRI MKUU AAGIZA TAEC, TBS NA TFDA ZIHARAKISHE KUTOA MAJIBU KWA WADAU WAKE *Azindua maabara ya Tume ya Nguvu za Atomiki *Aagiza watumishi watatu wapandoshwe vyeo kwa kukataa rushwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi zinazofanya uhakiki na upimaji bidhaa nchini zijirekebishe na ziongeze kasi ya utoaji matoke… Read More...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini afanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa.… Read More...
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI AFANYA MABADILIKO YA BAADHI YA MAKAMANDA WA MIKOA
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, (CGF) Thobias Andengenye, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa hap… Read More...
0 Response to "Biashara : CRDB Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma"
Post a Comment