Loading...

BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA

Loading...
BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA
link : BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA

soma pia


BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo Oktoba 23, 2017 imemkuta Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Maarufu kama Lulu, anakesi ya Kujibu.

Ni kuhusu tuhuma zinazomkabili za kumuua msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba ambaye pia alikuwa ni mpenzi wake, April 6 mwaka 2012.
Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wao kwa kuita mashahidi wanne.

Kesi imeahirishwa hadi saa tano kamili ambapo Lulu ataanza kujitetea.


Hivyo makala BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA

yaani makala yote BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/breaking-nyuzzzzz-mahakama-yamkuta-lulu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NYUZZZZZ: MAHAKAMA YAMKUTA LULU NA KESI YA KUJIBU KUHUSU KIFO CHA KANUMBA"

Post a Comment

Loading...