Loading...

DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI

Loading...
DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI
link : DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI

soma pia


DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI

 Msanii wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael akiwa na wazazi wake katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akisubiri kusomewa mastahaka yanaymkabili jijini Dar es Salaam leo.
 Msanii wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael akiongea jambo na wakili wake, Peter Kibatala wakizungumza jambo kabla ya kuanza kusomwa kesi yake ya kuua bila kukusudia jijini Dar es Salaam leo.
Msanii wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael akitoka katika mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam mara baada ya kesi yake kumaliza kusomewa na kuhairishwa mpaka Jumatatu Oktoba, 23, 2017.
Msanii wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael akiwa nje ya mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam leo mara baada ya kusomewa kesi ya kuua bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba.

Karama Kenyunko na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
DAKTARI wa familia ya msanii maarufu wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Dkt, Paplas Kagaia, ameileza mahakama Kuu ya Tanzania kanda Dar es Salaam Kanumba alifariki toka nyumbani baada ya kumpima na kukuta mapigo yake ya moyo hayakuwepo.

Dk, Paplas amedai hayo leo Oktoba 20, 2017 huu wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Jaji Sam Rumanyika.

Amedai kuwa, baada ya mdogo wa marehemu kumfuata hospitali kwake na kumwambia kuwa Kanumba amefariki, alichukua kipino cha sukari na shindikizo la Damu(pressure) na kwenda moja moja nyumbani kwake Sinza ambako baada ya kufika nyumbani kwake alimpima sukari na kukuta io kawaida lakini alipompima pressure haikuwepo kabisa. 

Daktari Huyo mwenye elimu ya stashada ya juu (Advance diploma) aliyejipatia Elimu yake chuo cha uuguzi cha jeshi cha Lugalo amedai kuwa, alikuwa daktari wa familia ya Kanumba kwa zaidi ya miaka mitano na anamiliki Hospitali yake binafsi ya St. Anna iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam alikuwa akimtibu Kanumba magonjwa ya kawaida na hakuwahi kugundua tatizo lake lolote. 

Mahojiano kati ya Dr Paplas na Wakili wa serikali Batlida Mushi yalikuwa kama ifuatavyo;

Wakili: Ulipata wapi taarifa kama ya kuugua kwa Kanumba?
Shahidi: Nikiwa naudumia wagonjwa kama kawaida nilipigiwa simu na Seth akiniomba niende kumuona Kanumba amedondoka, nikamwambia muda ule ulikuwa ni usiku sana aende kumchukua.

Wakili: kwani nini Seth akupigie wewe simu?
Shahidi: Nilikiwa daktari wa familia yao kwa miaka kama mitano hadi sita.

Wakili: Baada ya kukupigia simu, ulifanya nini?
Shahidi: Nilichukua vifaa vya mashine ya sukari na BP, niliingia chumbani kwake nikifuatana na Seth nilipofika nilikuta Kanumba amelala chini chali, nikampima sukari ilikuwa normal nikampima pressure mapigo ya moyo hayakuwepo kabisa.

Wakili:Baada ya kujua mapigo ya moyo hayapo ulifanya ulichukua hatua gani?
Shahidi: Nilimwambia Sethi Fanya umvalishe nguo wafanye utaratibu wa kumpeleka hospitali kubwa ya Muhimbili akafanyiwe Vipimo.
Wakili: Baada ya hapo ulifanya nini?
Shahidi: Baada ya kumvalisha nguo kwa kisaidiana na kijana mmoja wa jirani na mama mwenye nyumba tulimpeleka Muhimbili kitengo cha emergency.

Wakili: Mlipofika Muhimbili kitengo cha Emergency ulifanya nini?
Shahidi: Nilimuomba Dk tuliyemkuta pale ampime Kanumba na alipompima alisema kuwa ameshafariki.


Hivyo makala DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI

yaani makala yote DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/daktari-wa-kanumba-ameieleza-mahakama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DAKTARI WA KANUMBA AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA KANUMBA ALIFIA NYUMBANI"

Post a Comment

Loading...