Loading...
title : DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI
link : DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI
DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI
Daktari wa Mifugo na Kilimo, Dk. Aloyce Kessy akitoa mafunzo ya jinsi ya kuandaa vitalu vya miche ya papai katika kikao cha mpango kazi kwa watalaamu wa kilimo wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA) watakaokuwa wanasimamia mashamba makubwa yaliyoanzishwa na mtandao huo maeneo ya Ruaha mkoani Iringa, Kibaha na Vikindu mkoani Pwani. Kikao hicho kimefanyika leo eneo la Goba, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk. Kessy akifafanua jambo wakati wa kikao hicho. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mtandao huo, Dk. Kissui S Kissui na Mkurugenzi wa Miradi na Maendeleo ya Biashara wa Mkikita, Edwin Mkwanga
Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati Dk. Kessy akitoa mafunzo hayo
Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange akiwaelea watalaaamu hao kuhusu majukumu yao.
Hivyo makala DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI
yaani makala yote DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/dk-kessy-awapiga-msasa-wasimamizi-wa.html
0 Response to "DK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI"
Post a Comment