Loading...

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

Loading...
DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA
link : DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

soma pia


DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

 Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Richard Mabonero  leo  alipofika Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akifuatana  na mgeni wake  Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao. (Picha na Ikulu).


Hivyo makala DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

yaani makala yote DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/dkshein-akutana-na-balozi-wa-uganda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA"

Post a Comment

Loading...