Loading...
title : HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA
link : HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA
HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mzunguko wa nne wa ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja utaanza Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Amaan saa 10:00 za jioni Miembeni City dhidi ya Chuoni .
Mpaka sasa jumla ya mabao 41 yamefungwa katika
ligi hiyo huku washambuliaji Salum Songoro wa KVZ
na Nassor Ali wa Kipanga ndio wanaongoza katika
safu ya ufungaji ambapo wameshafunga jumla ya
mabao 4 kila mmoja.
MABAO 4
Salum Songoro (KVZ) mabao 4
Nassor Ali (Kipanga) mabao 4
MABAO 3
Mudrik Muhibu (KMKM) mabao 3
Salum Akida (KMKM) mabao 3
MABAO 2
Ali Haji Said “Zege” (JKU) mabao 2
Hivyo makala HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA
yaani makala yote HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/hawa-ndio-wanaongoza-kwa-magoli-ligi.html
0 Response to "HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA"
Post a Comment