Loading...

HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM.

Loading...
HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM.
link : HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM.

soma pia


HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM.

Mwambawahabari  



Hay ndio magari ya kisasa kabisa ambapo Makonda amekabidhi Leo kwa jeshi LA polisi LA dar es salaam.
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Paul Makonda (katikati) pamoja na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira(kulia) wakati akishuhudia tukio Hilo.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amekabidhi Magari ya kisasa 18 kati ya 26 yaliyopelekwa Mkoani Kilimanjaro yakiwa Mabovu (Mkweche) kwaajili ya kufufuliwa upya.

Magari hayo yalipelekwa Kilimanjaro yakiwa yamebebwa kutokana na ubovu lakini  sasa yanarejea Dar es Salaam yakiwa Mazima na mwonekano kama Magari ya UN ambapo yatakuwa na uwezo wa kubeba Askari 11 wakiwa wamekaa na silaha zao.

Akikabidhi Magari hayo kwa Jeshi la Polisi leo MAKONDA amesema yataenda kuhudumia Wananchi kwa kuimarisha Ulinzi na Usalama jijini Dar es Salaam.

Amesema kuwa kilichomgusa kuboresha Jeshi la Polisi ni Baada ya kuona Askari wakifanya kazi katika mazingira magumu na wakati mwingine kuvamiwa na majambazi kisha kuuawa na kuporwa Silaha.

Aidha  MAKONDA ameishukuru kampuni ya Rajinder Motors Ltd (RSA) kwa kumuahidi kutengeneza Magari 56 ya Polisi Dar es Salaam bila kutumia fedha za serikali (Bure).

MAKONDA ametumia Makabidhiano hayo kutuma salamu kwa Majambazi, Vibaka na wale wenye nia ya kuvuruga Amani na Usalama kuwa *kiama chao kimefika.

Amesema alipotangaza mpango wa kufufua Magari yaliyokufa wapo waliombeza lakini sasa wanajionea Magari yakiwa Mapya.

Makabidhiano hayo yameshuhudiwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ANNA MGWIRA, Kamanda wa Polisi kanda Maalumu ya Dar ea Salaam Lazaro Mambosa na viongozi wengine wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ambapo wamempongeza  MAKONDA kwa ubunifu mkubwa alionao.


Hivyo makala HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM.

yaani makala yote HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/haya-ndiyo-magari-ya-kisasa-alivyokuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HAYA NDIYO MAGARI YA KISASA ALIVYOKUWA KABIDHIWA MAKONDA KWAAJILI YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DSM."

Post a Comment

Loading...