Loading...
title : Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
link : Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Samora wakipozi kwa picha ya pamoja wakiwa katika umbo la moyo ikiwa ni ishara ya kuonyesha upendo na ukarimu kwa wateja wao kipindi hii benki yao ikiendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja.
Mteja wa Benki ya NBC, Neema Xibona (kulia) akionyesha furaha mbele ya wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Samora, Dar es salaam ambapo sasa NBC inaendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja. Wafanyakazi hao wanatumia muda wao kuwa karibu na wateja kusikiliza maoni yao kuhusu huduma na changamoto wazipatazo na kuzitafutia ufumbuzi.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala, Sady Mwang’onda (kulia), akizungumza na mmoja wa wateja, Elias Kaaya alipofika katika tawi lake kupata huduma.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kichwele, Frank Mwanga (kushoto), akisalimiana na mmoja wa wateja waliofika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam kupata huduma ambapo pia alipata nafasi ya kutoa maoni yake kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Chang’ombe wakirusha maputo pamoja na wateja wao kusherehekea mwezi wa huduma kwa wateja wa benki hiyo.
Hivyo makala Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
yaani makala yote Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/huduma-mbalimbali-zaboresha-nbc_25.html
0 Response to "Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja"
Post a Comment