Loading...
title : IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani
link : IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani
IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilaya zote mbili za Ikwiriri na Kibiti.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa operesheni maalum za Jeshi hilo, DCP Liberatus Sabas alipowasili Ikwiriri mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote mbili za Ikwiriri na Kibiti. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai, DCI Robert Boaz.
Baadhi ya milipuko 16, Visu 96 na mbolea ya chumvi inayotumika katika kuchanganyia milipuko ikiwa imekamatwa Mkoa wa Mtwara kufuatia operesheni zinazoendelea za jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi
Hivyo makala IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani
yaani makala yote IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/igp-sirro-afanya-ziara-kibiti-na.html
0 Response to "IGP Sirro afanya ziara Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani"
Post a Comment