Loading...
title : IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO
link : IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO
IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akimsikiliza Kmamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya, leo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi alipowasili mkoa wa Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoa wa Mtwara, mara baada ya kukagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake. IGP Sirro, yupo mkani humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO
yaani makala yote IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/igp-sirro-awakumbusha-askari-wajibu-wao.html
0 Response to "IGP SIRRO AWAKUMBUSHA ASKARI WAJIBU WAO WA KUTENDA HAKI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO"
Post a Comment