Loading...

IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE

Loading...
IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE
link : IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE

soma pia


IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE

Timu ya kata ya Ihembe imeibuka mabingwa wa Bashungwa Karagwe Cup 2017 baada ya kuifunga Nyaishozi mabao 2-1. Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa Changarawe huku mgeni rasmi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Mwigulu Nchemba uliteka hisia za mamia ya wakazi wa jimbo la Karagwe waliojitokeza kwa wingi.

Ihembe walikuwa wa kwanza kupata goli dakika 25 kupitia kwa Athumani Chuji aliepiga shuti kali la mpira wa adhabu uliomshinda golikipa wa Nyaishozi na kuingia wavuni. Bao hilo lilionekana kuwachanganya Nyaishozi ambao walionyesha kutoelewana katika eneo la ulinzi na kujikuta wakiruhusu bao la pili katika dakika ya 35 lililofungwa na Mshauri Kato aliewatoka walinzi wa Nyaishozi na kufunga goli la kiustadi. 

 Kipindi cha pili Nyaishozi waliuanza mchezo kwa kasi na kufanikiwa kupata bao katika dakika ya 78 lililofungwa na mshambuliaji MC, hata hivyo jitihada za kusawazisha matokeo zilikwamishwa na mlinda mlango wa Ihembe alieokoa michomo mingi.
Mgeni rasmi akiwasili katika uwanja wa changarawe ilipofanyika fainali ya Bashungwa Karagwe Cup
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akikagua vikosi vya Ihembe na Nyaishozi
Mchezaji wa Ihembe akipiga mpira wa kona
Uwanja wa Changarawe ulihosheheni mamia ya mashabiki wa mpira wa miguu.



Hivyo makala IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE

yaani makala yote IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/ihembe-mabingwa-kombe-la-mbunge-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE"

Post a Comment

Loading...