Loading...

JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO

Loading...
JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO
link : JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO

soma pia


JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo amefanya ziara leo ya kukagua utekeleza wa maagizo ya serikali aliyoyatoa hivi karibuni katika Kituo cha Afya Makole Manispaa ya Dodoma.

Pamoja na maagizo mengine, Jafo aliagiza kuhakikisha kituo hicho kinafunga mfumo wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato.

Akiwa katika ziara yake leo, Jafo amepongeza ufungaji wa mfumo huo huku akiwataka kuhakikisha wanaziba mianya ya upotevu wa mapato kwa kuwa hali ya ukusanyaji bado hairidhishi.

Amesema kwa mujibu wa taarifa aliyoipata kituo hicho kabla ya mfumo kilikuwa kikikusanya Sh.Milioni nne lakini kwasasa kinakusanya hadi Sh.Milioni 9.9 kwa mwezi jambo ambalo linaonesha bado kuna mianya ya upotevu wa mapato.

“Nawapongeza kwa kutekeleza maagizo ya serikali kwa kufunga huu mfumo lakini sijaridhishwa na ukusanyaji mapato wa kiwango hichi, kuna vituo vinakusanya hadi Sh.Milioni 24 nyie mnakusanya hivi bado haitoshi hakikisheni mnaziba mianya,”amesema Jafo
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akisisitiza jambo alipokuwa akikagua mfumo wa kielektroniki katika Kituo cha Afya Makole Manispaa ya Dodoma.
Wagonjwa wakiwa katika dirisha la malipo kwenye kituo cha Afya Makole Manispaa ya Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akisalimia wagonjwa alipokuwa akikagua kituo cha Afya Makole Manispaa ya Dodoma.




Hivyo makala JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO

yaani makala yote JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/jafo-aziagiza-halmashauri-kuzuia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI MAPATO"

Post a Comment

Loading...