Loading...

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura.

Loading...
JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura.
link : JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura.

soma pia


JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura.


 Mkuu wa wilaya ya Kigamboni ambaye ndiye mgeni rasmi aliegundua mpango wa huduma ya dharura kwa jeshi la zimamoto na uokoaji akiwa pamoja na wageni husika.


Mratibu wa mpango wa huduma ya dharura kutoka (DarMEART)Dkt.Christopher Mnzava akizungumza pamoja na kutoa maelezo juu ya mpango huduma hiyo iliyozinduliwa siku ya leo 


               Na. Mwandishi wetu 
mwambawahabari
Akizindua mpango leo  huo Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashimu Mgandilwa  amesema mpango umetekelezwa kwa mujibu wa Sheria ya Maafa ya mwaka 2015 na kwamba utasaidia kupunguza uwezekano wa kutokea majanga jijini humo.

“Mpango huu umerudisha mfumo wa awali wa maisha lengo ni kukabailiana na dharura za jijini Dar es Salaam tunaimani utaokoa maisha ya wananchi hasa pale yanapotokea majanga mbalimbali,” amesema.

Amebainisha kuwa mpango huo umefadhiliwa wadau wengi wakiwemo Benki ya Dunia(WB) ambao ndio wafadhili wakuu pamoja na Shirika la Misaada na Maendeleo la DFID.

Ameipongeza Serikali ya mkoa huo kwa kutekeleza sheria hiyo huku akiwasihi watakaopatiwa vifaa vya dharura kuvitumia kwa uangalifu ili visiharibike.

Pia, ameziomba halmashauri kuweka utaratibu wa kutenga fedha zitakazokuwa zikitumika wakati maafa yanapotokea.

Kwa upande wake Mratibu wa Mpango huo, Dkt. Christopher Mnzava amesema mpango wa huduma hiyo umeanza katika wilaya za Ilala, Kinondoni na Temeke huku akisisitiza umekubaliwa na Tamisemi na tayari mafunzo yashatolewa.


Amesema mpango huo hautaishia katika wilaya tatu bali utasambaa katika wilaya nyingine lengo likiwa kupunguza madhara yanayoweza kutokea kutokana na majanga yakiwemo ya mafurikio na moto.

Amefafanua kuwa bado wanakabiliwa na uhaba wa magari ambapo hivi sasa kuna magari 46 yanayofanya kazi 12 ila magari sita pekee ndio yenye uwezo wa kufanya kazi ipasavyo.

Naye Mkurugenzi wa Menejimenti ya Majanga- Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya amekabidhi eneo kwa jeshi hilo litakalotumika kuhifadhi vifaa vya dharura na kuipongeza Serikali ya mkoa huo kwa kuonyesha mfano wa kuigwa.


Hivyo makala JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura.

yaani makala yote JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji-mkoa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Dar es Salaam lazindua Mpango wa kukabiliana na huduma za dharura."

Post a Comment

Loading...