Loading...

Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi

Loading...
Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi
link : Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi

soma pia


Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi

 Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Upendo Njogolo  (kushoto), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Zakhem  Dar es Salaam, kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
 Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Evansia Kassuma (katikati), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Zakhem, Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana, kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
 Waendesha bodaboda wa eneo la Kimara, Dar es Salaam wakimsikiliza Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Upendo Njogolo  (kushoto), wakati akizungumza nao kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja. 
Wachuuzi wa mboga mboga nao wakisikiliza kwa makini jinsi wanavyoweza kubadisha maisha yao kiuchumi mara watakapojiunga na akaunti aya Malengo ya NBC. Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC inafanyika nchini kote ambapo washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.




Hivyo makala Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi

yaani makala yote Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kampeni-ya-akaunti-ya-malengo-ya-nbc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi"

Post a Comment

Loading...