Loading...

KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA

Loading...
KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA
link : KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA

soma pia


KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA



                         
Mkurugenzi mkuu wa makampuni yanayounda jina la HANSPAUL bwn.Satbir Singh Hanspaul kutoka jijini Arusha, akizungumza na waandishi wa Habari alipofika jijini Dar es salaam kushiriki mkutano wa mwaka wa jumuiya ya serikali za mitaa tanzania (ALAT)





Moja ya gari maalumu la kubebea taka gari ambalo ni maalumu na zuri katika shuhuli za kiusafi katika miji pamoja na mitaa mbalimbali ambalo huuzwa na kampuni hiyo ya HANSPAUL


Mwambawahabari 
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya HANSPAUL Bwn.Satbir Singh Hanspaul ambao ni wa uuzaji wa magari maalumu kwa ajili ya kuzolea taka  pamoja na magari aina ya matrekta kutoka Mkoa wa Arusha, ameonyesha kufurahishwa kwa kwake na kasi ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli kwa kusema kuwa kitendo cha Rais  kupenda maendeleo ya wananchi wake limekuwa ni jambo jema kwake na pia linaonyesha ni njia ya kipekee katika kuwaokoa  watanzania katika sekta nzima ya viwanda na Biashara. 

Awali akizungumza pamoja na chombo hiki kilipofika katika moja ya banda maalumu kwenye maonyesho ya bidhaa ambazo kampuni yake inazalisha  , Bwn. Hanspaul ameonyesha zaidi kufurahishwa na juhudi za Rais hasa kwa kitendo cha rais Magufuli kuamua kuhamishia mkutano huo wa mwaka ambao ulikuwa ufanyike kitaifa katika mkoa wa Mbeya lakini kutokana na rais kutamani kukutana na baadhi ya wahusika katika utendaji wa serikali katika ngazi ya mtaa pamoja na Wadhamini husika wanaounga mkono juhudi za Kasi ya maendeleo hapa nchini na kutokana na rais kuwa na shuhuli nyingi wao wamefurahishwa na kitendo hicho cha kuamua kuhamishia mkutano huo kuanyika Dar es salaam badala ya Mkoa wa Mbeya

Mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika mapema siku ya kesho 03.10.2017 huku mgeni rasmi akiwa ni Rais Magufuli wapo wawekezaji wengi ambao wamejitokeza kuunga mkono mkutano huo ikiwa ni pamoja na Kampuni hii ya HANSPAUL kampuni hii wamefika Dar es salaam ikiwa ni moja ya njia katika kuitangaza bidhaa zao katika masoko na kupatikana kwao ni ukifika tuu katika ukumbi mkubwa wa mikutano wa Mwl Nyerere kwenye banda lao la maonyesho kabla tuu ya kuingia ndani ya mkutano 

Hivyo katika kutoa wito kwa watanzania pamoja na kuunga mkono juhudi za kuuunga mkono bidaaa ambazo huzalishwa hapa nchini kutoka kwenye kampuni hizo za HANSPAUL kutoka Arusha Njiro

Kampuni hii ya HANSPAUL ni muunganiko wa kampuni kubwa ambazo zote kwa pamoja zinazalisha bidfaa mbali mbali na majina ya kampuni husika ni pamoja na  HANSPAUL AUTOMECHS LTD,HANSPAUL INDUSTRIES LTD,DHARAM SIGNH HANSPAUL&SONS LTD


Hivyo makala KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA

yaani makala yote KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-hanspaul-jijini-arusha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA HANSPAUL JIJINI ARUSHA YAKUNWA NA JUHUDI ZA RAISI MAGUFULI KATIKA DHANA YA VIWANDA"

Post a Comment

Loading...