Loading...
title : KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA
link : KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA
KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Paul Ruzoka akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Rais, Ngusa Samike akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mapadri nao wakipita mbele kuaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA
yaani makala yote KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kardinal-pengo-aongoza-maaskofu-na.html
0 Response to "KARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA TUNDURU MASASI,ASKOFU CASTORY PAUL MSEMWA"
Post a Comment