Loading...
title : KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA
link : KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA
KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA
Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu baada ya matembezi ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere yaliyoanzia Ikulu mpaka katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam leo ikiwa pia ni siku ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu wakimsikiliza Katibu Mkuu Alphayo Kidata baada ya matembezi ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere yaliyoanzia Ikulu mpaka katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam leo ikiwa pia ni siku ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mazoezi ya viungo yakiendelea.
Hivyo makala KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA
yaani makala yote KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-ikulu-aongoza-matembezi-ya.html
0 Response to "KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA"
Post a Comment