Loading...
title : KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE
link : KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE
KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kushoto) akipokelewa na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kulia) akipokelewa na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpokea kwa shangwe Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara ya Ardhi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika wakati akiongea nao baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi za Wizara ya Ardhi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Hivyo makala KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE
yaani makala yote KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-mpya-wizara-ya-ardhi.html
0 Response to "KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE"
Post a Comment