Loading...

Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa

Loading...
Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa
link : Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa

soma pia


Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa

Mwambawahabari 

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutaka Wakuu wa mikoa wengine kuiga utendaji kazi wa Paul Makonda ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,  Mkuu wa mkoa huyo amemshukuru Rais Magufuli na wananchi wa Dar es salaam kwa kumpa ushirikiano.

RC Makonda ametoa shukrani hizo  kupitia ukurasa wake wa instagram huku akitaka pongezi za Rais Magufuli ziwaendee wale wote waliomuunga mkono.

"Utukufu na heshima apewe Mungu aketie mahali patakatifu.Asante sana Mh Rais asante watumishi wa Mkoa wa Dar es salaam. 

"Asante sana wadau na Wananchi wote wa mkoa wa Dar es saalam kwa mshikamano wenu,Upendo wenu na Umoja wenu katika kuleta maendeleo ya mkoa wa Dar es salaam.

"Pongezi za Mh Rais ziende kwenu nyote mnaoendelea kuunga mkono Kwa hali na mali maendeleo ya Mkoa wa Dar es salaam."


Hivyo makala Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa

yaani makala yote Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kauli-ya-paul-makonda-baada-ya-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kauli ya Paul Makonda Baada ya Rais Magufuli Kudai ni Mfano wa Kuigwa"

Post a Comment

Loading...