Loading...

KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA

Loading...
KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA
link : KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA

soma pia


KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA

HAKIMU mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomasi Simba amekwama kutoa uamuzi wa kupokea ama kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya kwa sababu bado hajamaliza kuandaa uamuzi huo. 

Uamuzi huo ulitarajiwa utolewe leo lakini Hakimu Simba amesema bado hajamaliza kuandaa uamuzi huo ambapo na ameahirisha kesi hiyo hadi Novemba Mosi mwaka huu (2017).

Mapema Wakili wa Wema, Peter Kibatala aliiomba mahakama isipokee hati hiyo kwa kuwa haikukidhi vigezo.

Wema anashtakiwa pamoja na wafanyakazi wake wawili,  Angelina Msigwa na Matrida Abbas ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya na kutumia dawa za kulevya aina ya bangi.


Hivyo makala KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA

yaani makala yote KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kesi-inayomkabili-wema-sepetu-yapigwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA"

Post a Comment

Loading...