Loading...
title : KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM
link : KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM
KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM
Kesi ya kuuwa bila kukusudia inayomkabili, Msanii wa filamu hapa nchini, Elizabert Michael "Lulu" inaendelea kusikilizwa leo katika Mahakama kuu Dar es salaam, ambapo shahidi wa nne atatoa ushahidi wake Mahakamani hapo. Pichani ni Wakili wa Lulu, Peter Kibatala akijadiliana jambo na mteja wake aliyeambatana na wazazi wake Mahakamani hapo kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo. Lulu anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia Msanii mwenzake, Marehemu Steven Kanumba miaka sita iliyopita.
Hivyo makala KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM
yaani makala yote KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kesi-ya-kuuwa-bila-kukusubia.html
0 Response to "KESI YA KUUWA BILA KUKUSUBIA INAYOMKABILI MSANII LULU LUENDELEA LEO MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM"
Post a Comment