Loading...

KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI

Loading...
KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI
link : KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI

soma pia


KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI

Na Karama Kenyunko, Glogu ya Jamii.


MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kwa kushirikiana na wazee wa baraza wa mahakama hiyo kesho wanatarajia kutoa muhtasari wa kesi ya mauaji ya bila kukusudia inayomkabili msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu anayedaiwa kumuua msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba.

Jaji Sam Rumanyika amesema kuwa muhtasari huo utasaidia wazee wa baraza kupitia shauri hilo na kuamua kama Lulu anahatia ama la. Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi wao kwa Stafu Sajenti, E 103  Nyagea (53) kusoma maelezo ya ushahidi ya Josephine Mushumbus ambayo aliyarekodi.

Maelezo hayo yalisomwa baada ya wakili wa utetezi, Peter Kibatala kumueleza Jaji Rumanyika kuwa wanaomba askari huyo ayasome maelezo ya Mshumbus ambaye ni shahidi wao pili kwa sababu yeye ndiye aliyemuandikia na yuko mbali hawezi kupatikana kwa urahisi. 

Akisoma maelezo hayo, amesema kuwa anamfahamu Mushumbus na ndiye aliyeandika maelezo yake ya ushahidi. Amesema kuwa katika maelezo hayo Mushumbus alijitambulisha kuwa ni Daktari, ana miaka (46) Mkazi wa Bunju National Housing na aliyaandika maelezo hayo April 23, 2012.

Akimnukuu Mushumbus, askari huyo alisoma kuwa;MShumbusi alimwambia kuwa yeye ni mmiliki ya clinic ya precious inayotoa tiba mbadala iliyopo katika jengo la Mawasiliano barabara ya Sam Nujoma.

Katika clinik yake alikuwa akitibu wateja wa aina mbali mbali akiwemo marehemu Steven Kanumba ambaye alimfahamu tangia Agosti mwaka 2011 alipofika katika clinic yake hiyo kwa Mara ya kwanza kwa ajili ya kutoa sumu mwilini, na kuanzia hapo akawa na mazoea ya kwenda hapo clinic kwa ajili ya huduma hiyo.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI

yaani makala yote KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kesi-ya-lulu-ushahidi-wa-mushumbus.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI YA LULU: USHAHIDI WA MUSHUMBUS WASOMWA MAHAKAMANI"

Post a Comment

Loading...